Wewe ni kiungo muhimu katika mwili wa Kristo! Katika Kanisa, kila mmoja ana nafasi yake ya pekee. Chunguza idara mbalimbali zilizopo na tambua wito wako wa kuhudumu. Hakikisha unatumia vipawa vyako kwa ajili ya kujenga mwili wa Kristo na kutangaza Injili. Karibu, na Mungu akubariki unapojiunga nasi katika huduma!